Shule ya upili ya Langa Langa Nakuru yapata matokeo bora

  • | Citizen TV
    295 views

    Shule ya upili ya kutwa ya langa langa kaunti ya Nakuru imenakili matokeo bora kwa miaka mitatu sasa mfululizo .licha ya kuwa shule ya kiwango cha eneo bunge, mtahiniwa mmoja wa kcse amepata gredi ya a ya pointi themanini na moja mwaka huu.