NTSA imewakamata dereva na kondakta wa matatu

  • | Citizen TV
    15,107 views

    Mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani ntsa imenasa matatu mbili pamoja na dereva na kondakta wa gari moja la uchukuzi wa umma katika barabara ya ongata rongai kuelekea jiji la nairobi . Hii ni baada ya matatu hiyo kunaswa kwa video ambapo vijana walikuwa juu ya paa la gari hilo pamoja na kuvunja sheria kadhaa za trafiki .