Watahiniwa, walimu na wazazi washehereka matokeo ya KCSE 2024

  • | KBC Video
    2,759 views

    Sherehe zilinoga katika sehemu mbalimbali nchini huku wanafunzi waliofanya mtihani wa KCSE mwaka uliopita, familia zao na walimu wakipokea matokeo ya mtihani huo. Mwanahabari wetu John Kahiro ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive