KCSE 2024 I Matokeo ya watahiniwa 840 yafutiliwa mbali kutokana na udanganyifu

  • | KBC Video
    154 views

    Watahiniwa 840 waliofanya mtihani wa kitaifa wa KCSE mwaka uliopita hawatapata matokeo ya mtihani huo baada ya kufutiliwa mbali kutokana na dosari. Akiongea katika jengo la Mitihani, wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya mtihani wa kitaifa wa KCSE mwaka 2024, waziri wa elimu Julius Ogamba, alisema matokeo ya watahiniwa 2,829 yamezuiliwa kutokana na dosari kwenye mtihani, akisema matokeo hayo yanafanyiwa uchunguzi kwenye shughuli itakayokamilika katika muda wa siku 30. Opicho Chemtai na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive