Methali I Achekaye kilema hafi hakijamfikia

  • | KBC Video
    24 views

    ACHEKAYE KILEMA HAFI HAKIJAMFIKA

    Maana ya juu

    Haifai kumcheka au kumdharau mtu mwenye ulemavu kwani hali hiyo ni nje ya uwezo wake na inaweza kumfika yeyote.

    Maana ya ndani

    Hakuna mja mkamilifu, hivyo basi haifai kuwadunisha au kuwadharau wenzetu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive