KCSE 2024 I Idadi ya watahiniwa wa kike yazidi wale wa kiume

  • | KBC Video
    646 views

    Hali ya elimu nchini inaonekana kuchukua mweleko mpya miaka 39 baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa 8-4-4. Kwa mara ya kwanza katika historia ya mtihani w akitaifa wa kidato cha nne, KCSE, wasichana zaidi walifanya mtihani huo mwaka uliopita wakilinganishwa na wavulana. Wakati huo huo watahiniwa wa kiume walidumisha matokeo bora huku 127,853 wakifuzu kujiunga na vyuo vikuu kwa kupata alama ya C+ na zaidi ikilinganishwa na watahiniwa 118,537 wa kike. Mwanahabari wetu John Jacob Kioria anatuarifu zaidi kuhusu mienendo inayobadilika katika ulingo wa elimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive