Asilimia 25 ya wanafunzi wafuzu kujiunga na vyuo vikuu

  • | K24 Video
    8 views

    Mwaka huu umeweka rekodi ya idadi ya juu ya wanafunzi waliofanya mtihani wa KCSE, wakati ambao wasichana wanaongoza kwa mara ya kwanza. Angalau nusu ya wanafunzi hao walipata alama ya d na chini. Wakati huo huo nchi imesajili ongezeko la 3% katika idadi ya wanaofuzu kujiunga moja kwa moja na vyuo vikuu kwa alama ya c+ na zaidi.