Shule tofauti nchini zaandikisha matokeo mazuri ya KCSE

  • | K24 Video
    188 views

    Shule tofauti nchini zimeandikisha matokeo mazuri ya KCSE yaliyotangazwa leo. Wazazi, wanafunzi na walimu kutoka shule mbali mbali walijumuika pamoja kusherehekea matokeo ya KCSE