'Baba yangu alininyanyasa kingono pia'

  • | BBC Swahili
    288 views
    Gisele Pelicot alibakwa na wanaume walioajiriwa na mume wake kwa zaidi ya miaka 10. Dominique Pelicot, mumewe, alipatikana na hatia ya kumuwekea mke wake dawa za kulevya na kuwaalika watu 50 wasiomfahamu kumbaka akiwa amepoteza fahamu. Sasa, binti wa Gisèle Caroline Darian anaamini kwamba baba yake pia alimuwekea dawa za kulevya na kumnyanyasa kingono jambo ambalo Dominique anakanusha. Binti wa Gisèle Caroline Darian alizungumza na BBC na hapa Lizzy Masinga anelezea #bbcswahili #ufaransa #ubakaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw