Wakaazi wa kisiwa cha Mfangano waanzisha hazina ya kuhakikisha wanafunzi wamerejea shuleni

  • | Citizen TV
    56 views

    Wakaazi wa Kijiji cha Soklo kisiwani Mfangano wameanzisha hazina ya  fedha kijijini humo kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wamerejea shuleni . Wakazi hao wanasema hatua hiyo itaimarisha kiwango cha elimu kisiwani humo. Elimu imekuwa ikipuuzwa kwa muda mrefu kisiwani humo kutokana na umaskini.