Walinzi katika Ranchi ya Solio kaunti ya Nyeri washtakiwa kwa kumpiga kinyama mzee wa miaka 50

  • | Citizen TV
    3,458 views

    Walinzi wa shamba la Solio wanadaiwa kumdhulumu jamaa jamaa wa miaka 50 anadai aliteswa na kumpiga kinyama hii ni baada ya kupitia kwenye shamba hilo bila idhini mzee huyo anadai kuwekwa pingu na kumfunga kwenye mti .