Kutekwa Maria Sarungi kumeleta hofu kwa wanawake kutetea haki zao

  • | VOA Swahili
    282 views
    Lydia Sanga Mkazi wa Dar es Salaam anasema tukio hilo la kutekwa na kuachiwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi linatia hofu miongoni mwa wanawake ambao wanatamani kuingia kwenye harakati za kutetea jamii wakihofia kuishia kufanyiwa vitendo vya ukatili kama ilivyotokea kwa mwanaharakati huyo. #mwanaharakati #kutekwa #kenya #nairobi #mariasarungi #tanzania #voa #voaswahili