Watu 5 wamepoteza maisha yao baada ya kugongwa na lori katika eneo la Nyabohanse kaunti ya Kuria

  • | Citizen TV
    1,529 views

    Watu 5 wagongwa na lori eneo la Nyabohanse, lori hilo la kubeba mahindi lilikuwa likiendeshwa kwa kasi dereva alishindwa kulidhibiti na kuwagonga wapita njia