Viongozi Wa kidini Katika kaunti Bungoma sasa wanawataka wanasiasa kusitisha uchochezi

  • | Citizen TV
    253 views

    Viongozi wa kidini Bungoma wataka uchochezi kukomeshwa wanasema viongozi wa kisiasa wamevuka mipaka wanahofia semi hizo zitavuruga umoja wa wananchi