Ni yeye alikuwa ameniambia niende kila mahali niseme hii serikali ni ya shares." — Rigathi Gachagua

  • | K24 Video
    449 views

    "Haya maneno ya shareholding alinifukuza nayo, yeye mwenyewe ndiye alikuwa ameniambia niende kila mahali niseme kuwa hii serikali yetu ni ya shares." — Rigathi Gachagua