Mubashara: Rais wa Marekani Joe Biden atahutubia Bunge la Marekani kuhusu Hali ya Kitaifa

  • | VOA Swahili
    2,962 views
    Rais wa Marekani Joe Biden atahutubia Bunge la pamoja la Marekani kuhusu Hali ya Kitaifa Jumatano 0200UTC. Rais Biden anatarajiwa kuzungumzia uvamizi wa Russia nchini Ukraine, Uchumi wa Marekani, udhibiti wa bunduki na mageuzi katika jeshi la polisi, kati ya mambo mengine. Sarah Huckabee Sanders, gavana wa jimbo la Arkansas la Marekani, atatoa hotuba ya Warepublikan juu ya hali ya kitaifa, kama ilivyo desturi kwa mwakilishi kutoka chama cha upinzani kukanusha maelezo ya rais. #rais #joebiden #marekani #hotuba #haliyataifa #voa #voaswahili