Sauti za vijana wa Afrika kwa Rais wa Marekani

  • | VOA Swahili
    105 views
    Donald Trump ameapishwa leo Jumatatu kuchukua rasmi hatamu za uongozi kama rais wa 47 wa Marekani. Kurejea kwake madarakani ni tukio la kihistoria kwa mtu ambaye katika kipindi cha zaidi ya miaka tisa alikibadili chama cha Republican katika nchi inayozidi kukumbwa na migawanyiko. Hizi ni sauti za vijana wa Afrika kwa Rais wa Marekani Donald Trump. #sauti #vijana #afrika #rais #donaldtrump #voa #voaswahili