Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe ameutaka uongozi mpya kuunda tume ya ukweli na upatanishi ili kurudisha umoja ndani ya chama hicho uliopotea wakati wa kampuni.
Wakili Tundu Lissu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti kwa kupata Kura 513, sawa na asilimia 51.5, akimshinda aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe ambaye amepata kura 482, sawa na asilimia 48.3, huku Odero Charlse akipata kura 1 sawa na asilimia 0.1.
Hata hivyo mwenyekiti huyo Mpya Wakili Tundu Lisu amesema uchaguzi ulikuwa huru na kuvitaka vyama vyengine vya upinzani na chama tawala kuiga mfano kutoka kwao.
Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani.
#uchaguzi #chadema #mwenyekiti #makamu #tundulissu #freemanmbowe #voa #voaswahili
23 Jan 2025
- The government has announced the migration of all Inua Jamii beneficiaries to the eCitizen M-Pesa payment platform starting with the January 2025 disbursement.
23 Jan 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has hosted a section of leaders from Nyandarua County hours after engaging Kenyans on matters of national importance on his first TikTok live. Taking to his official X account, on Thursday, January 23, 2025,…