Vijana wa kuranda washambulia maafisa wa KEBS kuzuia uharibifu wa mchele Eldoret

  • | NTV Video
    2,614 views

    Kizaazaa kilizuka Katika Chimbo la kutupa taka la Kipkenyo viungani mwa jiji la Eldoret Jumatano jioni, pale ambapo vijana wa kuranda mitaani almaarufu 'Chokoraa' walipowashambulia na kuwafurusha maafisa wa halmashauri ya kutathmini ubora wa bidhaa humu nchini, KEBS, waliofika katika Chimbo hilo kuharibu mchele mbovu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya