KWS waweka ua kuzingara mbugha Nyahururu

  • | KBC Video
    55 views

    Shirika la kuhifadhi wanyamapori limerejelea uwekaji ua wa umeme kuzingira msitu wa Marmanet baada ya shughuli hiyo kusitishwa mwaka uliopita Wakazi wa vijiji vya Kauka/Silale na Uwaso-Narok wamepongeza hatua ya kuweka ua huo wakiwahimiza wale ambao ardhi yao iko viungani mwa msitu huo kutafuta mbinu mbadala za kusuluhisha mzozo wa ardhi iliyosimamisha mradi huo. Wakazi hao walikadiiria hasara baada ya ndovu kuvamia mashamba yao na kuharibu mimea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive