Mzee Shayo: Uvaaji wangu ni kama wazee wa kichaga kwenye shuhuli

  • | BBC Swahili
    644 views
    Mzee Shayo ni mmoja wa wachekeshaji maarufu nchini Tanzania. Mtindo wake wa uvaaji na maudhui vimekuwa kivutio mitandaoni Anazungumza na Omary Mkambala mubashara kutoka studio za BBCSwahili Dar es Salaam #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw