Unajua kwamba kulia hadi kutoa machozi ni dawa?

  • | BBC Swahili
    1,385 views
    Kulia mara nyingi kunatajwa kuwa njia nzuri ya kupunguza msongo wa mawazo. Je, sayansi inaunga mkono jambo hii?. Hilder Ngatunga @hilder_ngatux anaelezea zaidi #bbcswahili #afya #utafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw