- 11,435 viewsDuration: 3:01Familia za watu sita waliofariki kwenye ajali ya barabarani Jumamosi asubuhi katika eneo la Soysambu, Gilgil, kaunti ya Nakuru, zimeanza kutambua miili ya wapendwa wao katika makafani ya hospitali ya Gilgil. Sita hao walikuwa wakielekea nairobi kutoka kisumu walikokuwa wamehudhuria mazishi.