Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma wahangaika baada ya mgomo wa wahadhiri

  • | Citizen TV
    1,357 views
    Duration: 2:46
    Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma nchini wanaitaka serikali kuwajibika na kutatua maswala yaliyochangia mgomo wa wahadhiri ambao umefikia siku ya 40 hii leo. Baadhi ya wanafunzi wamelazimika kutafuta vibarua ili kujikimu kutokana na hali ngumu ya kusalia chuoni bila masomo wengi wao wakielezea hofu ya kucheleweshwa kwa masomo yao.