Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dini wahofia amani kuvurugwa

  • | Citizen TV
    3,526 views
    Duration: 3:02
    Viongozi wa kidini wamewataka wenzao wa kisiasa kupunguza joto la kisiasa linaloshuhudiwa nchini kwa sasa, wakionya linatishia kuvuruga amani na kuwafukuza wawekezaji wanaofika nchini kwa biashara.