25 Oct 2025 7:39 pm | Citizen TV 4,810 views Duration: 1:43 Magavana hii leo walimtembelea mjane Ida Odinga katika boma lake la Opoda farm huko Bondo na kumfariji siku chache baada ya aliyekuwa waziri mkuu Raila Amolo Odinga kuzikwa.