Jaji Mkuu Martha Koome awataka polisi kufuata sheria

  • | Citizen TV
    2,642 views

    Jaji Mkuu Martha Koome, Waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi na spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula wamekashifu visa vya utekaji nyara nchini kufuatia kupatikana kwa miili ya vijana wawili kati ya wanne wanaodaiwa kutekwa nyara katika eneo la Mlolongo kaunti ya Machakos.