LSK wataka uwajibishaji katika visa vya utekaji nyara

  • | KBC Video
    25 views

    Chama cha Wanasheria humu nchini kinataka maafisa wakuu wa vitengo vya usalama waagizwe kufika mahakamani kuelezea aliko Kelvin Muthomi ambaye alitoweka tarehe 16 mwezi Desemba mwaka jana. Chama hicho kinataka inspekta jenerali wa polisi na mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai waiwajibikie kutoweka kwa Muthomi ambaye ni mkazi wa mtaa wa Githurai 45 jijini Nairobi na ambaye hakuwa miongoni mwa vijana wanne waliotoweka katika eneo la Mlolongo hapo awali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive