Waliotekwa nyara wasema wanatishiwa na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi

  • | Citizen TV
    1,913 views

    Jamaa za waathiriwa wa utekaji nyara nchini sasa wanaitaka mahakama ya kimataifa ya jinai ya ICC kuingilia suala hili. Aidha, wanamtaka Inspekta Jenerali wa polisi na Mkuu wa idara ya DCI kuwajibikia visa vya utekaji nyara na mauwaji ya jamaa zao. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, baadhi ya waliokuwa wametekwa nyara sasa wanasema wanatishwa na maafisa wa usalama