Shida za Kutafuta Kazi: Maelfu ya wakenya wataabika kupata mapato ya kila siku kwa kukosa ajira

  • | Citizen TV
    1,085 views

    Ukosefu Wa Kazi Umeendelea Kuzidi Kuwa Donda Sugu Nchini, Huku Maelfu Ya Wakenya Wakitaabika Kupata Angalau Mapato Ya Siku Kujikimu Na Familia Zao. Kwenye Taarifa Zetu Maalum Jioni Ya Leo, Gatete Njorore Ameangazia Maisha Ya Kina Mama Wanaotafuta Ajira, Na Mara Nyingine Bila Kufaulu Angalau Kuhakikisha Familia Zao Zinapata Chakula Na Makao.