Gachagua asema atatoa mwelekeo kuhusu uzinduzi wa chama chake

  • | Citizen TV
    4,329 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Sasa Anasema Atazindua Mipangilio Ya Chama Chake Cha Kisiasa Jumapili Ijayo, Akisema Bado Anaendelea Kupokea Maoni Kutoka Kwa Wakenya. Akizungumza Alipohudhuria Ibada Eneo La Mathioya Kaunti Ya Murang’a, Gachagua Amesema Nia Yake Ni Kuunda Chama Kitakochomfurusha Rais William Ruto Mamlakani.