- 571 viewsDuration: 2:24Mamilioni ya wanafunzi wa gredi ya sita na ya tisa wanafanya mtihani wao wa utathmini wa kitaifa kuanzia hapo kesho. Serikali kupitia wizara ya elimu na ile ya usalama wa kitaifa imewahakikishai wanafunzi na walimu kuwa maandalizi yamekamilika. Huu utakuwa utathmini wa kwanza kwa wanafunzi walianza sekondari msingi chini ya mtaala mpya wa CBE