- 4,461 viewsDuration: 1:07Ibada maalum ya jumapili imeandaliwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Ibada hiyo iliyoongozwa na askofu wa kiangalikana wa dayosisi ya Bondo David Kodia ilihudhuriwa na familia, waumini wa kanisa la kianglikana, jamaa na majirani wa Odinga. Katika mahubiri yake Askofu Kodia aliangazia umoja katika jamii.