Skip to main content
Skip to main content

Kupungua kwa samaki Ziwa Victoria kumezua migogoro na kubadili majukumu ya kijamii

  • | Citizen TV
    799 views
    Duration: 2:58
    Kupungua kwa idadi ya samaki katika Ziwa Victoria kumesababisha migogoro sio tu baina ya wavuvi bali pia kati ya asasi za usalama kutoka nchi jirani. Hali hii sasa ikisababisha kina mama pia kujitosa katika uvuvi, jambo ambalo linakisiwa kuwa kinyume na itikadi za jamii ya Dholuo