Wakaazi walalamikia kucheleweshwa kwa mradi wa chuo

  • | Citizen TV
    176 views

    Wakazi wa Eneo Bunge la Kwanza wanaitaka serikali kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa chuo cha Kiufundi cha Kwanza, ambacho kimetengewa shilingi milioni 60