Charles Dulo amemsuta Jaji Koome kwa kutoshughulikia kesi dhidi ya majaji

  • | NTV Video
    136 views

    Mwenyekiti wa tume ya utekezelezaji haki Charles Dulo amemsuta jaji mkuu Martha Koome, kwa kutotatua nyingi ya kesi zilizowasilishwa mbele ya tume ya huduma za mahakama dhidi ya majaji wenzake na maafisa wengine wa mahakama.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya