Serikali yapinga madai ya kurejea kwa maafisa wa polisi Kenya Haiti

  • | NTV Video
    1,322 views

    Serikali imepinga madai kuwa maafisa wa polisi wa Kenya waliotumwa kudumisha amani nchini Haiti watarejea baada ya Rais wa Amerika Donald Trump kusitisha ufadhili wa oparesheni ya kukabili wahalifu hatari nchini humo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya