Rais William Ruto ameendelea na ziara kaskazini mashariki

  • | Citizen TV
    5,513 views

    Rais William Ruto ametia saini amri ya kuondoa msasa ambao wakazi wa maeneo yanayopakana na mataifa jirani wamekuwa wakifanyiwa, kabla ya kupewa vitambulisho vya kitaifa, akisema hatua hii itaondoa ubaguzi nchini. Akizungumza kaunti ya wajir alipoendelea na ziara yake eneo la kaskazini mashariki, Rais Ruto amesema tajriba yake ya miaka 30 kisiasa itampa muhula wa pili ikuluni.