Ripoti ya uchunguzi yaonyesha walivyouawa vijana wawili wa Kitengela

  • | Citizen TV
    1,267 views

    Vijana wawili wa kitengela kati ya wanne waliotekwa nyara walifariki kutokana na majeraha mabaya ya kichwa, kifua, tumbo na shingo. Upasuaji wa maiti umebaini kuwa mmoja kati ya marafiki Justus Musyimu na Martin Mwau ambao miili yao ilipatikana katika hifadhi ya Nairobi waliuawa kwa kumenyama na waliomwangamiza.