Familia imeendelea kumtafuta mvuvi Brian Odhiambo, Nakuru

  • | Citizen TV
    847 views

    Leo ni siku kumi na tisa tangu kupotea kwa Mvuvi Brian Odhiambo katika kaunti ya Nakuru baada ya kudaiwa kunaswa na maafisa wa shirika la huduma kwa wanyamapori mwezi jana. Familia yake sasa ikisema haijakata tamaa kumtafuta jamaa yao huku wakilaumu maafisa wa usalama kwa kutowapa taarifa zozote.