Rais wa FKF Hussein Mohamed asema FKF ina deni la shilingi milioni 400

  • | K24 Video
    8 views

    Tumeingia katika afisi za shirikisho la soka nchini FKF zikiwa hazina hata shilingi. Hii ni kauli ya rais wa FKF Hussein Mohamed, baada ya kupokea ripoti ya kamati ya dharura iliyotwikwa jukumu la kufanya tathmini ya afisi hiyo. kulingana na Hussein, viongozi walioondolewa mamlakani waliacha deni la shilingi milioni 400 na sasa wanataka uchunguzi ufanyike kuhusu akaunti za FKF