Madaktari katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya Moi waanza mgomo

  • | K24 Video
    7 views

    Madaktari katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya Moi wameanza mgomo leo baada ya makataa ya siku 14 kuisha bila ya kupatikana mwafaka. Madaktari hao wanalalamikia MTRH kukosa kulipia makato yao ya benki, mikataba ya uajiri isiyofaa na malipo ya uzeeni miongoni mwa maswala mengine.bodi ya usimamizi ya hospitali ya moi imekuwa ikjaribu kufanya mazungumzo ya dharura huku mgomo huo ukiwasababishia mahangaiko mamia ya wagonjwa.