Rais aondoa hitaji la uhakiki kabla ya kupata kitambulisho kwa wakazi wa kaskazini

  • | KBC Video
    508 views

    Rais William amebatilisha hitaji la kusailiwa kwa wale wanaotuma maombi ya vitambulisho kwa watu wanaoishi Kaskazini mwa nchi na Kaunti zilizo karibu na mipaka ya kimataifa ya Kenya. Rais aliyezungumza katika Kaunti ya Wajir alisema kila mkenya ni sawa mbele ya sheria na hakuna mtu anapaswa kubaguliwa kwa misingi ya rangi, kabila au eneo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive