Kiongozi wa kidini wa Ismailia Aga Khan, aaga dunia akiwa na umri wa miaka 88

  • | K24 Video
    244 views

    Kiongozi mkuu wa 49 wa wasilamu wa jamii ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa mtandao wa maendeleo wa aga khan, muadhama Aga Khan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. aga khan anayefahamika kama Karim Al-Hussaini Aga Khan wa nne , alifariki dunia jumanne tarehe nne mwezi huu jijini lisbon, ureno akiwa amezungukwa na familia yake.