Gavana Anyang’ Nyong’o, apuuzilia mbali madai ya mgawanyiko katika uongozi wa juu wa chama cha ODM

  • | K24 Video
    54 views

    Kiongozi wa muda wa ODM ambaye pia ni Gavana wa Kisumu, Prof. anyang’ nyong’o, amepuuzilia mbali madai ya mgawanyiko katika uongozi wa juu wa chama cha ODM. katika mahojiano ya kipekee na k24, Nyong’o amesisitiza kuwa ODM ina miundo thabiti ya kushughulikia migogoro yoyote ya ndani akidai kuwa hisia tofauti isichukuliwe kuwa migogoro