Mgogoro wa ardhi : Serikali yatakiwa kuingilia kati

  • | KBC Video
    16 views

    Wanachama wa kampuni inayomiliki shamba la Solai Ruyobei wameyoa wito kwa serikali kuwasaidia kumiliki shamba hilo la ekari elf-8 lililoko eneo la Oljorai huko Gilgil kaunti ya Nakuru. Zaidi ya wanachama hao-1,500 wanadai kuwa kundi la mamia ya watu linanuia kuwafurusha wale wanaoishi kwenye shamba hilo na kutwaa umiliki wa shamba hilo bila stakabadhi halisi. Musa Toroitich ambaye ni mwenyemiti wa kampuni ya Solai Ruyobei amesema kundi hilo linalojiita Lari Nyakinyua linasisitiza kuwa linamiliki shamba hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive