Wizara ya afya yatoa onyo kali kwa wenye maduka ya urembo

  • | Citizen TV
    202 views

    Wizara ya afya imetoa onyo kali kwa wenye maduka ya urembo ambayo yanatoa huduma za hospitali bila kuwa na kibali. Haya yanajiri wakati uchunguzi umeonyesha kuwa baadhi ya maduka ya urembo yanafaya oparesheni bila leseni.