Kaunti ya Kajiado yawasilisha mashine ya kutambua saratani ya ngozi

  • | Citizen TV
    115 views

    Kama njia moja ya kuzuia Na kutibu saratani ya ngozi, idara ya watu walemavu kutoka serikali kuu Na ya Kaunti wamezindua mashine iliyo Na gesi itakayo saidia kugundua ugonjwa wa saratani mapema.