Mpango wa kuimarisha huduma za afya wazinduliwa Kajiado

  • | Citizen TV
    364 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado Kwa ushirikiano na mashirika mbali mbali hii Leo inakamilisha warsha ya siku tano ya kujadili mikakati ya miaka mitano ya kuimarisha afya kwenye kaunti hiyo.