Huduma za afya katika kaunti za Pwani kuimarika baada ya uzinduzi wa ujenzi wa vyumba vya wagonjwa

  • | Citizen TV
    120 views

    Huduma za afya katika kaunti tatu za pwani huenda zikaimarika baada ya mamlaka ya maendeleo eneo la pwani CDA kuzindua ujenzi wa vyumba vya wagonjwa wanaohitaji huduma maalum katika hospitali ya kaunti ndogo ya Malindi